Kuzingirwa kwa Edirne (378)

Kuzingirwa kwa Edirne kulifanyika mwaka 378 baada ya ushindi wa Wagoti katika Vita vya Adrianopoli. Vikosi vyao vilishindwa kuvunja kuta za mji na walijiondoa. Baadaye, walijaribu bila mafanikio kuvunja kuta za Konstantinopoli.[1]

  1. Alessandro Barbero, The Day of the Barbarians, Walker & Co, 2008 p 120-125

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search